Mahusiano: Mambo ya kuzingatia hasa kwa wale vijana ambao bado hawajaoa
MAHUSIANO
Mambo ya kuzingatia wakati wa mahusiano ni kuishi maisha matakatifu; Mahusiano yakiwa mabaya uharibu uchumba hadi ndoa
Sifa za mke mwema (mith31:10-31)
Huaminiwa na moyo wa mumewe
Hufanya juhudi kutafuta mapato hata ayapate
Huwaza mema kwa mumewe
Mwangalizi/mhudumu wa familia
Huamka asubuhi na mapema
Mtafiti wa njia za mapato
Anajiamini kwa vyote alivyonavyo
Mtoaji, mpole, mtulivu
Mtii kwa mumewe
Humfanya mumewe ajulikane
Ana hekima, wema
Mlinzi wa familia
Hufurahiwa na mumewe na wanawe
Adabu nzuri, mavazi ya kujistiri ndy mapambo yake (1tim2:9)
Ni mkamilishaji wa ndoto za mwanamume (mith18;22, 14:19, 19:14)
Kwaajili ya mke, mume hupata kibali
Sifa za mume
Kichwa cha familia
Mwekaji wa dira/mwelekeo
Mlinzi wa familia yake
Mtafutaji wa mahitaji yote ya nyumbani (vitu vyote vya thamani na samani)
Msimamizi wa mipango ya familia
Hakuna maoni